Mentor Kielekezi cha Kiswahili GD10 (Rtd)

KSh1,250.00

Category:

Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 10

Kitabu hiki kina sifa zifuatazo.

*Kimewasilisha kikamilifu mahitaji ya Mtaala wa Kiumilisi.
*Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha:
*Kimetumia mtindo unaomwegemea mwanafunzi.
*Kimetumia lugha nyepesi inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.
*Kina mazoezi muhimu ya kumtathmini mwanafunzi na kujitathmini.
*Kina tathmini mwishoni mwa kila sura ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio zaidi.

Waandishi wa kitabu hiki-wane-tajriba kubwa katika ufundishaji wa somo la kiswahili katika shule tajika nchini Kenya.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mentor Kielekezi cha Kiswahili GD10 (Rtd)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Scroll to Top